03/09/2021 Comment

Fidelity Insurance

 

Curfew sio rafiki ya Friday ama end month. Saa zile story za ku-unwind zimeanza kushika unaskia siren huko nje. Lakini this #FidelityFurahiday jiite mkutano ya kujiambia, “Well done! Another month finished strong, healthy, safe and insured.”


No comment available .